Kiche Legend - Angalia Juu Lyrics
CHORUSShalom kwa mademu walioniangalia kwa chiniShalom to the Mbwigas walioniangalia kwa chiniShingoni sina kitu so hawakunithamini,Kichwani ndo iko madini, the sky is the limitAngalia Juu, (heeey) Angalia Juu, (so fly can you see me now) *3Verse 1Wanaulizana who let the genie out the bottleCoz since I been out its bottle after bottleBottle after bottle after BottleSi unajua mtoto wa mbwa tena nisha hit the lottoChampagne for all the pain the world bringLiu Kang for hizi kicks that I came inAnd I came in with the A team, Mbwiga we made it, Angalia juu AMEN800 Thou na kaka zangu twagawana,Wahenga walisema undugu si kufanana ni kufaanaNjoo ujiunge na chama, ujifunze kuona kwa urefu na mapanaBapa juu ya bapa juu ya bapaChapaa juu ya chapaa, huna chapaa chapa lapaMa brothers got my back kama ile logo ya kapaKwa mademu wote cake hii leo ndo birthday ya Mwana.CHORUSShalom kwa mademu walioniangalia kwa chiniShalom to the Mbwigas walioniangalia kwa chiniShingoni sina kitu so hawakunithamini,Kichwani ndo iko madini, the sky is the limitAngalia Juu, (heeey) Angalia Juu, (so fly can you see me now) *3Verse 2I told talk to the hands, ni crazy MuppetsSpika zangu ziko deep, deeper than ya pocketCheki wako shot, wamegusa socketRemember you blew me up, you wanna blow me get a trumphetKwa sasa nawakilisha wakili wake wakalaMpesa ni hii wallet imetuna kama KajalaMajalala sikuwa hata na dala ya dalalalaAsante sala Mbwiga now ninamake dollars dollarsDoors open up I go to different stages, the legs open up yellow pagesSnitch Mbwigas walk away, yellow pagesKila kutwa kula chips kwenye kazi domo zegeTunachoma Barberque Tunachoma BarberqueDrinks pembeni, Pembeni swimming poolTunachoma Barberque Tunachoma BarberqueMusic so loud, you know how we doCHORUSShalom kwa mademu walioniangalia kwa chiniShalom to the Mbwigas walioniangalia kwa chiniShingoni sina kitu so hawakunithamini,Kichwani ndo iko madini, the sky is the limitAngalia Juu, (heeey) Angalia Juu, (so fly can you see me now) *3OUTROIcy in the house watch your mouthAgogo in the house watch your mouthRocky in the house watch your mouthMswati in the house, get you best get downRonny in the house watch your mouthKiche in the house watch your mouthTeam Mbwiga in the house watch your mouth909 in the house, we own this house