Don Jatelo - Tabasamu Langu Lyrics
Intro [Instrumentals ]Chorus]Moyoni mwangu, nina amani,Ninayopata kwakoMpenzi wangu, usiende mbali,U tabasamu langu. X2[Verse 1]Mpenzi mwandani mahabubuNaanza kwa kuomba msamahaNilijaribu na sikuwezaKuyasarifu maneno matamu X2Kuna makosa yalifanyikaUkaondoka kwangu vigaflaSikuamini kwamba waendaMpenzi we X2[Chorus]Moyoni mwangu, nina amani,Ninayopata kwakoMpenzi wangu, usiende mbali,U tabasamu langu. X2[Verse 2]Kwako nimeonja asaliNa sitaki tena sukariWewe ndiwe mpenzi wanguEeeeeeeeeee[Instrumentals]Kwa mwengine sitokwendaMola wewe kanitunukuItakuaje wewe karibuMpenzi ….[Chorus]Moyoni mwangu, nina amani,Ninayopata kwakoMpenzi wangu, usiende mbali,U tabasamu langu. X2